Mshambuliaji anayetakiwa na Manchester United ya England, Antoine Griezmann (kushoto) akishangilia baada ya kufunga bao pekee dakika ya 84 katika ushindi wa 1-0 wa Atletico Madrid dhidi ya Granada kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes mjini Granada PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment