Kiungo Arturo Vidal akishangilia mbele ya mashabiki wa Bayern Munich usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 85 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern iliyoshinda 5-1 pia kwenye mchezo wa kwanza Munich yalifungwa na Robert Lewandowski dakika ya 55 kwa penalti, Arjen Robben dakika ya 68 na Douglas Costa dakika ya 78, wakati la Arsenal iliyomaliza pungufu baada ya Laurent Koscielny kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 54, lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wukari/Ibi Rep hopeful expresses confidence in Taraba PDP
-
PDP aspirant Alhaji Muktar Galadima has expressed strong confidence in
Taraba PDP leadership and dismissed crisis rumours as he submits nomination
forms ...
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment