Olivier Giroud akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Lincoln City kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Emirates, London usiku wa jana. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 45, Luke Waterfall aliyejifunga dakika ya 58, Alexis Sanchez dakika ya 72 na Aaron Ramsey dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment