TX MOSHI, ZAHIR ZORO ENZI ZAO WALIKUWA WATANASHATI KWELI
Wanamuziki watanashati wa muziki wa dansi, Zahir Ally Zoro (kushoto) na Ally Muhoja Kishiwa, aliyejulikana zaidi kwa jina la TX Moshi William (sasa marehemu) wakifurahia pamoja miaka ya 1990 enzi zao wakitikisa katika anga la muziki nchini
0 comments:
Post a Comment