Beki Mholanzi, Nathan Ake kinda wa umri wa miaka 21 anayecheza kwa mkopo AFC Bournemouth kutoka Chelsea kimuonekano ni kama Ruud Gullit, lakini kiuchezaji ni kama Frank Rijkaard, magwiji wa zamani wa Uholanzi. Kijana huyo amekuwa gumzo baada ya kufunga bao la ushindi Jumapili Bournemouth ikiifunga 4-3 Liverpool katika Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: France beat Norway 4-1 as Dembélé hits hat-trick
-
France maintained their perfect start to the 2026 FIFA World Cup with a
commanding 4-1 victory over Norway on Friday, thanks to a first-half
hat-trick fr...
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment