Kiungo kutoka Ghana, James Agyekhum Kotei (kulia) akizungumza na Mratibu wa Simba SC, Abbas Ally baada ya kuwasili nchini jioni ya leo kwa mipango ya kujiunga na vigogo hao wa soka nchini
James Agyekhum Kotei ni kiungo mkabaji ambaye anakuja kumsaidia majukumu Nahodha wa klabu kwa sasa, Jonas Gerald Mkude
0 comments:
Post a Comment