Mwanzo > SIMBA > KIPA MGHANA AANGUKA MIAKA MIWILI SIMBA SC HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA SIMBA KIPA MGHANA AANGUKA MIAKA MIWILI SIMBA SC Rais wa Simba SC, Evans Aveva (kulia) akisaini Mkataba na kipa Daniel Agyei kutoka klabu ya Medeama SC ya Ghana Wawili hao wamesaini mkataba huo jioni ya leo mjini Dar es Salaam na kesho kipa huyo anakwenda kambini Morogoro Monday, December 05, 2016 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA SIMBA
0 comments:
Post a Comment