YANGA SC ILIPOIKATALIA ASTON VILLA SHAMBA LA BIBI 1973
Mchezaji wa Aston Villa ya England akipiga mpira katikati ya wachezaji wa Yanga katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam Mei mwaka 1973. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, tena wenyeji wakitangulia kufunga kabla ya wageni kusawazisha mwishoni mwa mchezo
0 comments:
Post a Comment