• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 26, 2016

  MAUGO, DULLAH MBABE ULINGONI KESHO

  Mabondia Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya pambano lao la ubingwa wa UBO Afrika uzito wa Super Middle litakalofanyika kesho Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam PICHA NA RAJAB MHAMILA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAUGO, DULLAH MBABE ULINGONI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top