Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe (kushoto) akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 baada ya kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwezi Januari leo asubuhi viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kutoka kwa wadhamini wakuu wa ligi hiyo, Kampuni ya Vodacom Tanzania. Wengine kutoka kulia ni Ofisa wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), Joel Balisidya, Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom, Ibrahim Kaude na Meneja wa Azam, Luckson Kakolaki
👕 Man City launch new home kit for 2022/23 season
-
Manchester City have officially unveiled their striking new home kit for
the 2022/23 season. The kit 'celebrates' Club legend Colin Bell, who was
famously ...
Dakika 25 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni