• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 30, 2016

  UHOLANZI 'YAITUNUKU' 2-1 ENGLAND, SCOTLAND YAIKALISHA DENMARK

  Danny Rose wa England akitelezea sehemu tofauti na mpira ambao upo kwenye himaya ya Joel Veltman wa Uholanzi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku huu Uwanja wa Wembley, London. Uholanzi imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Vincent Janssen kwa penalti na Luciano Narsingh, baada ya Jamie Vardy kutangulia kuwafungia wenyeji PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  Matt Ritchie katikati ya beki Daniel Agger na kipa Kasper Schmeichel kuifungia bao pekee Scotland dakika ya nane katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Denmark Uwanja wa Hampden Park usiku huu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UHOLANZI 'YAITUNUKU' 2-1 ENGLAND, SCOTLAND YAIKALISHA DENMARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top