• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 23, 2016

  ULIMWENGU VIPI TENA, ATACHEZA LEO?

  Daktari wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, akimnyoosha misuli mshambuliaji wa timu hiyo, Thomas Ulimwengu jana kwenye Uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya mjini D’jamena wakati wa mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo dhidi ya Chad leo kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika

  Ulimwengu alionekana kabisa kuugulia maumivu wakati wakinyoosha misuli

  Ulimwengu akinyooshwa misuli ya mguu wake wa kushoto wenye nguvu zaidi ya kufumua mashuti

  Na Ulimwengu alimkimbilia Daktari baada ya kupiga shuti kali kwenye mazoezi ya jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ULIMWENGU VIPI TENA, ATACHEZA LEO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top