• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 25, 2016

  ARGENTINA YAIADHDIBU CHILE KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Angel di Maria akishanfilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Argentina dakika ya nane, baada ya Felipe Gutierrez kutangulia kuwafungia weyeji dakika ya 11, kabla ya Gabriel Mercado kuwafungia wageni la ushindi wa 2-1 dhidi ya Chile mjini Santiago jana katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARGENTINA YAIADHDIBU CHILE KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top