• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 22, 2016

  MTIZI WA MWISHO STARS KABLA YA KUIVAA CHAD

  Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu akipambana kuondoka na mpira dhidi ya wachezaji wenzake katika mazoezi ya Taifa Stars jioni ya leo Uwanja wa Uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya mjini D’jamena kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya wenyeji kesjho kwenye Uwanja huo 

  Mshmbauliaji John Bocco kulia akimiliki mpira pembeni ya beki Shomary Kapombe

  Kiungo Mohammed Ibrahim akipasua katikati ya Ibrahim Hajib (kulia) na Juma Abdul (kushoto) 

  Kiungo Jonas Mkude akimiliki mpira mbele ya kiungo Shizza Kichuya

  Kiungo Mwinyi Kazimoto akifanya vitu vyake katika mazoezi leo 

  Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta (kulia) akimiliki mpira pembeni ya kiungo Farid Mussa 

  Kiungo Jonas Mkude akimlamba chenga beki Juma Abdul katika mazoezi matamu leo

  Mabeki Mohammed Hussein 'Tshabalala' kulia na Erasto Nyoni (kushoto) wakigombea mpira

  Washambuliaji tegemeo wa Taifa Stars, Mbwana Samatta (kulia) na Thomas Ulimwengu (kushoto) mazoezini leo

  Makocha Charles Boniface Mkwasa na Hemed Morocco wakisimamia mazoezi leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MTIZI WA MWISHO STARS KABLA YA KUIVAA CHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top