Mchezaji wa Barcelona, Sergi Roberto (kulia) akiruka juu kukwepa miguu ya Eric Bailly wa Villarreal katika mchezo wa La Liga usiku wa leo Uwanja wa El Madrigal. Timu hizo zimtoka 2-2, mabao ya Villarreal yakifungwa na Bakambu na Mathieu aliyejifunga baada ya Barca kutangulia kwa mabao ya Rakitic na Neymar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment