Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba (katikati) akiruka juu kupiga mpira katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Uholanzi mjini Amsterdam usiku wa jana. Ufaransa ilishinda 3-2 mabao yake yakifungwa na Antoine Griezmann, Olivier Giroud na Blaise Matuidi wakati ya Uholanzi yalifungwa na Luuk de Jong na Ibrahim Afellay PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment