Mshambuliaji Sadio Mane akipongezwa na wachezaji wenzake wa Southampton baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa St Mary's, wakitoka nyuma kwa mabao 2-0. Bao lingine la Southampton limefungwa na Graziano Pelle, wakati mabao ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho na Daniel Sturridge PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment