• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 27, 2016

  YANGA WALIPOTUMIA JEZI ZA TAIFA STARS LIGI YA MABINGWA MWAKA 1998

  Mshambuliaji wa ASEC Abidjan ya Ivory Coast, Abou Dominique akimtoka beki wa Yanga, John Jacob Mwansasu katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. ASEC ilishinda 3-0. Yanga walioweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya Simba kujibu mwaka 2003, walitumia jezi za timu ya taifa, Taifa Stars baada ya jezi zao kufanana na za wageni, ASEC na hawakuwa na jezi nyingine.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA WALIPOTUMIA JEZI ZA TAIFA STARS LIGI YA MABINGWA MWAKA 1998 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top