• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 22, 2016

  ULIMWENGU ALIPOUNGANA NA STARS ADDIS

  Mshambuliaji wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu (katikati) akisalimiana na wachezaji wenzake, Erasto Nyoni (kulia) na John Bocco (kushoto) wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuungana nao asubuhi ya leo mjini Addis Ababa kuunganisha ndege pamoja kuelekea Chad kwa ajili ya mchezo dhidi ya wenyeji kesho kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 

  Ulimwengu akisalimiana na wachezaji wenzake wa Stars pamoja na watangazaji wa Azam TV, Patrick Nyembera na Khalfan Mwinshehe 

  Erasto Nyoni na Himid mao kwenye ndege kutoka Dar es Salaam

  Kinda Farid Mussa (kulia) akiwa amechoka kabla ya mechi yenyewe

  Mabeki David Mwantika (kulia) na Shomary Kapombe kwenye ndege kutoka Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ULIMWENGU ALIPOUNGANA NA STARS ADDIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top