• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 30, 2016

  MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA AHLY IKIIPIGA 3-0 MAJIMAJI TAIFA

  Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rashid Mfaume Kawawa (sasa marehemu, wa pili kushoto) akisalimiana na Nahodha wa Majimaji ya Songea, Omar Kapilima kabla ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Majimaji ilifungwa 3-0, Mwingine kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa TFF) Subira Mambo (sasa marehemu pia)   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA AHLY IKIIPIGA 3-0 MAJIMAJI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top