Mashabiki wa Manchester United (kushoto) wakichapana makonde baada ya kutibuana wakati wa mchezo baina ya timu zao hatua ya 16 Bora Europa League Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Liverpool kufuzu Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment