• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 30, 2016

  CASILLAS AJIBEBEA JUMLA KIMYA KIMYA 'RIPOTA' WAKE

  Kipa wa kimataifa wa Hispania, Iker Casillas (kushoto) amefunga ndoa ya siri na mpenzi wake, Sara Carbonero (kulia) ambaye ni mwandishi wa habari za michezo nchini humo. Wawili hao walioanza mapenzi yao mwaka 2010 na wanatarajiwa kupata mtoto wa pili, walifunga ndoa yao iliyohudhuriwa na watu wachache ukumbi wa Boadilla del Monte mjini Madrid   PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CASILLAS AJIBEBEA JUMLA KIMYA KIMYA 'RIPOTA' WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top