Riyad Mahrez (wa tatu kutoka kushoto) akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa Leicester City kumpongeza baada ya kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 34 wakiwalaza wenyeji Crystal Palace 1-0 Uwanja wa Selhurst Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment