• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 22, 2016

  FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII

  Nahodha Msaidizi wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, John Raphael Bocco (kushoto) akiwa kwenye mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam Alfajiri hii wakati wa safari ya kwenda D’jamena, Chad kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika dhidi ya wenyeji Jumatano. Kulia ni Himid Mao
  Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Martin Chacha, kipa Aishi Manula, beki David Mwantika na kiungo Farid Mussa 

  Katikati ni Mkuu wa Msafara, Ravia Idarus, ambaye pia ni Rais wa ZFA

  Katikati ni beki Shomary kapombe akiwa na wachezaji wenzake wa Azam FC, Himid na Bocco

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FUNGU LA MWISHO STARS LILIVYOPAA CHAD ALFAJIRI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top