• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 21, 2016

  RONALDO AKOSA PENALTI, REAL YASHINDA 4-0

  Mshambuliaji Gareth Bale (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake wa Real Madrdi,  Karim Benzema na Cristiano Ronaldo baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Sevilla usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema, Cristiano Ronaldo na
  Jese Rodriguez Ruiz. Ronaldo alikosa penalti pia sawa na  Kevin Gameiro wa Sevilla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AKOSA PENALTI, REAL YASHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top