• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 31, 2016

  SI KWA MAZOEZI HAYA JOSHUA, UTAUA!

  Bondia Anthony Joshua ameanza mazoezi kwa zaidi ya wiki moja sasa kujiandaa kuendeleza rekodi ya kutopoteza pambano atakapopambana na bingwa wa IBF, Charles Martin wa Marekani, ukumbi wa 02 Arena, London, Uingereza Aprili 9, mwaka huuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SI KWA MAZOEZI HAYA JOSHUA, UTAUA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top