Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Everton Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alex Iwobi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment