• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 22, 2016

  AZAM VETERANS HII SASA SIFA, ARBA!

  Mshambuliaji wa Azam Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' akimuacha chini beki wa Soccer City FC katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa JMK Youth Centre. Azam Veterans ilishinda 4-1 mabao yake yakifungwa na POpat mawili, Mbaraka Shaaban moja na lingine Salim Aziz 'Ryad Mahrez''   

  Kikosi cha Azam Veterans kilichofanya mauwaji jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM VETERANS HII SASA SIFA, ARBA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top