• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 26, 2016

  TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO


  Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta akicheza na mpira mazoezini leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mechi dhidi ya Chad Jumatatu kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017
  Mshambuliaji mpya wa Taifa Stars Abdillahi Yussuf 'Adi' kutoka klabu ya Mansfield Town ya Daraja la pili England akifanya mazoezi leo Uwanja wa Taifa
  Mshambuliaji Thomas Ulimwengu akikokota mpira mazoezini leo. Kulia ni mshambuliaji mwingine John Bocco
  Kulia ni beki David Mwantika na kushoto kiungo Farid Mussa mazoezini leo Taifa
  Wachezaji wa Taifa Stars wakicheza mchezo maarufu kama 'Hangaisha Bwege' na anayeutafuta mpira hapo Adi
  Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa akifundishs kwa vitendo. Kulia ni beki Shomary Kapombe

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOJIFUA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top