• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 21, 2016

  SAMATTA ALIVYOANZA KUUTUMIKIA UNAHODHA STARS

  Nahodha mpya wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwaongoza wenzake leo kwa mara ya kwanza tangu apewe wadhifa huo katika mazoezi kwenye Uwanja wa Omnisports Idriss Mahamat Ouya mjini D’jamena kujiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika Jumatano kwenye Uwnaja huo PICHA NA BARAKA KIZGUTO

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOANZA KUUTUMIKIA UNAHODHA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top