Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 40 ikishinda 2-0 dhidi ya Ubelgiji Uwanja wa Manispaa ya Dk Magalhaes Pessoa usiku huu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Ureno limefungwa na Luis Nani, wakati la Ubelgiji limegungwa na Romelu Lukaku PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment