Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford ambaye Watanzania wanamtania ana asili ya Pemba akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 16 ikishinda 1-0 dhidi ya mahasimu, Manchester City Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment