Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akimng'ata kiungo wa Everton, Gareth Barry jana Uwanja wa Goodison Park wakati wa mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England baina ya timu hizo. Everton ilishinda 2-0 mabao ya Romelu Lukaku yote. Costa alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuzinguana na kiungo huyo na pia inasemekana aliwaonyesha ishara mbaya mashabiki wa Everton jukwaani. Mwaka 2011, Luis Suarez alisimamishwa kwa kosa kama hilo ugenini kwa Fulham na amekwishafungiwa mara tatu maishani mwake kwa kung'ata wenzake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment