• HABARI MPYA

    Sunday, March 20, 2016

    YANGA, APR ZILIVYOKAMUANA JANA DAR

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimdhibiti beki wa APR ya Rwanda mbele ya mpira katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Saaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 na Yanga kusonga mbele hatua ya 16 Bora kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 2-1 mjini Kigali
    Mshambuliaji Amissi Tambwe wa Yanga (kulia) akijivuta kupita shuti pembeni ya beki wa APR
    Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa APR
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kushoto) akifanya yake katikati ya wachezaji wa APR
    Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akifumua shuti pembeni ya mchezaji wa APR
    Kikosi cha Yanga kilichotoa sare jana na APR Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA, APR ZILIVYOKAMUANA JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top