• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 24, 2016

  HAJIB, MWINYI NA TSHABALALA MADUKANI ADDIS ABABA

  Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kushoto Ibrahim Hajib, Mwinyi Kazimoto na Mohammed Hussein 'Tshabalala' wakiangalia bidhaa kwenye moja ya maduka ya Uwanja wa Ndege wa Bole mjini Addis Ababa, Ethiopia wakiwa njiani kurejea Dar es Salaam kutoka Chad, ambako jana walicheza wenyeji mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAJIB, MWINYI NA TSHABALALA MADUKANI ADDIS ABABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top