Mbrazil Carlos Henrique Jose Francisco Venancio 'Casemiro' amekuwa shujaa wa Real Madrid baada ya bao lake la kichwa dakika ya 89 kuipa timu hiyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Gran Canaria. Bao la wenyeji lilifungwa na Willian Jose Da Silva dakika ya 87, baada Sergio Ramos kutangulia kuifungia Real dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup player sent off for covering his mouth in exchange with rival for
the first time EVER
-
The extraordinary moment saw the referee show the player a straight red
card after going over to his monitor and spotting that he had covered his
mouth in ...
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment