Mshambuliaji Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya 83 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku huu Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoa sare ya 1-1. Bao la West Ham limefungwa na Dimitri Payet dakika ya 68 na sasa timu hizo zitarudiana kuwania kwenda Nusu Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brighton dominate ten-man Villa
-
Brighton start their season with an emphatic win at home against Europa
League winners Aston Villa, with four first-half goals.
47 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment