Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic akiondoka na mpira baada ya kufunga mabao manne katika ushindi wa 9-0 ugenini dhidi ya Troyes kwenye mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa usiku wa leo Uwanja wa Aube. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani, Adrien Rabiot, Dreyer na Saunier aliyejifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ferrari delay in moving Leclerc costly - Hamilton
-
Lewis Hamilton says Ferrari's delay in moving team-mate Charles Leclerc out
of his way could have cost him second place at the Dutch Grand Prix.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment