Mshambuliji Abdul Ramadhani 'Mashine' (kushoto) na Twaha Hamidu 'Noriega' (kulia) wakifanya mazoezi katika kambi ya wiki ya Simba SC mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993. Simba iliweka kambi Nice kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la CAF dhidi ya USM El Harrach ya Algeria. Simba ilikwenda kufungwa 2-0 Algeria na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 3-0 Dar es Salaam.
Kane's rise from childhood keeper to equalling England cap record
-
Harry Kane reaches another significant England milestone by equalling Peter
Shilton's record as the most-capped Three Lions player that he has held for
36 ...
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment