MUBIRU NA MALIMA 'JEMBE ULAYA' SHUGHULI ILIVYOKUWA NAKIVUBO 1999
Beki wa Yanga SC, Bakari Malima 'Jembe Ulaya' (kulia) akimpigia mahesabu mshambuliaji wa SC Villa ya Uganda, Hassan Mubiru aliyeenda hewani kupiga mpira kichwa katika fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1999 Uwanja wa Nakivubo mjini Kampala, Uganda. Yanga SC ilishinda kea penalti 4-1 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 120.
0 comments:
Post a Comment