| Stand United iliwaanzishia benchi wachezaji wote wa zamani wa Simba SC, Amri Kiemba na Haroun Chanongo kulia na Elias Maguri (kushoto) walipomenyana na timu hiyo Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania na Bara. Simba SC ilishinda 1-0 na Chanongo peke yake aliingia kipindi cha pili. Maguri ndiye tegemeo la mabao la Stand United inayofundishwa na kocha wa zamani wa Simba SC, Mfaransa, Patrick Liewig kwa sasa na leo amefunga bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya City mjini Shinyanga. Je, haya yalikuwaa maamuzi ya kocha au? |
0 comments:
Post a Comment