• HABARI MPYA

  Monday, October 26, 2015

  YANGA SC 'SAFARI NA MUZIKI' KUIFUATA MWADUI FC, KAZI NI KESHOKUTWA KAMBARAGE

  Makocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm (kulia) na Msaidizi wake, mzalendo Juma Mwambusi (kushoto) wakiwa kwenye basi na wachezaji wao kwa safari ya Shinyanga ambako Jumatano watamenyana na Mwadui FC Uwanja wa Kambarage mjini humo, katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC 'SAFARI NA MUZIKI' KUIFUATA MWADUI FC, KAZI NI KESHOKUTWA KAMBARAGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top