• HABARI MPYA

  Thursday, October 22, 2015

  SAKATA LA NGONGOTI MSENEGALI WA SIMBA 'KUVULIWA HIRIZI' JANA SOKOINE

  Wachezaji wa Prisons wakimzonga mshambuliaji Msenegali wa Simba SC, Pape Abdoulaye N'daw kumshinikiza avue hirizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Prisons ilishinda 1-0 
  Mwishowe refa alimuamuru N'daw arudi kwenye chumba cha kuvalia akakaguliwe
  N'daw 'akimtisha' mchezaji wa Prisons aliyemshupalia amevaa hirizi 
  N'daw akiingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo ili kukaguliwa wakati ambao mchezo ulisimama kwa dakika nne kipindi cha kwanza
  Watu 'waso haya' wanapiga chabo madirishani wakati N'daw anakaguliwa chumbani
   N'daw anarejea uwanjani baada ya kukaguliwa
  Mchezaji wa Prisons aliyedai N'daw ana hirizi akionywa kwa kadi ya njano kabla ya mchezo kuendelea

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAKATA LA NGONGOTI MSENEGALI WA SIMBA 'KUVULIWA HIRIZI' JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top