UJUMBE KUTOKA KWA WACHEAJI WA SIMBA SC KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Wachezaji wa Simba SC,wakiwa wameshika bango la kuitakia nchi Uchaguzi mwema lenye ujumbe wa Tanzania Kwanza, Amani, Upendo na Umoja kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumamosi Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
0 comments:
Post a Comment