Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar amekuwa mchezaji mwingine wa timu hiyo kufunga mabao manne katika mechi moja baada ya Messi, tangu Mcameroon Samuel Eto'o alipofanya hivyo mwaka 2008. Neymar alifunga mabao mawili kwa penalti jana kati ya manne katika mchezo wa La Liga, wakati bao lingine la Barca lilifungwa na Luis Suarez, Barcelona ikishinda 5-2 dhidi ya Rayo Vallecano. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
South Africa hope to host first African Olympics
-
The International Olympic Committee confirms South Africa have shown an
interest in becoming the first African host of the summer Olympics.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment