• HABARI MPYA

    Wednesday, October 14, 2015

    MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM 'ALIVYOMUAGA' RAIS KIKWETE JUZI SHEREHE ZA WANAMICHEZO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidy Meckysadick (kushoto) meza kuu juzi ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam katika sherehe za Wanamichezo kumuaga rais JK zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA).
    Rasi Kikwete anaonekana akitafakari mambo, wakati Meckysadick 'akipumzika'
    Burudani ya muziki ukumbini hapo haikuwa kero katika mapumziko ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM 'ALIVYOMUAGA' RAIS KIKWETE JUZI SHEREHE ZA WANAMICHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top