• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 29, 2015

  MNAPOSHINDA, HALAFU WAPINZANI WAKATOA SARE NI RAHA TUPU!

  Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva (kulia) akifurahia na Mjumbe wa Kamati yake ya Utendaji, Said Tuliy (katikati) na Msemaji wa klabu, Hajji Manara (kushoto) jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC iliifunga 1-0 Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, wakati mahasimu wao, Yanga SC walilazimishwa sare ya 2-2 na Mwadui FC Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MNAPOSHINDA, HALAFU WAPINZANI WAKATOA SARE NI RAHA TUPU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top