• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 22, 2015

  SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE

  Mshambuliaji Msenegali wa Simba SC, Pape Abdoulaye N'daw (kushoto) akimgeuza beki wa Prisons FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacon Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Prisons ilishinda 1-0
  Pape N'daw akigombea mpira wa juu na wachezaji wa Prisons
  Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akimtoka beki wa Prisons
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akimtoka beki wa Prisons
  Winga wa mkopo Simba SC kutoka Azam FC, Joseph Kimwaga (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Prisons
  Pape N'daw (kulia) akimtoka beki wa Prisons
  Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya Prisons

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA PRISONS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top