Kipa wa Chelsea, Asmir Begovic akiruka bila mafanikio kuzuia mpira wa kichwa wa Andy Carroll, uliopa bao la ushindi West Ham nyumbani dakika ya 79 Uwanja wa Upton Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. West Ham maarufu 'Wagonga Nyundo' wameshinda 2-1, bao lao lingine likifungwa na Mauro Zarate dakika ya 17, huku la Chelsea iliyompoteza Nemanja Matic aliyeonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 44 Gary Cahill dakika ya 56. Makocha Jose Mourinho wa Chelsea na Silvino Louro pia walitolewa uwanjani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Djokovic wins China Open to claim 102nd career title
-
Novak Djokovic claims the 102nd title of his astonishing career as Alex de
Minaur retires injured from the China Open final.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment