• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 31, 2015

  CHELSEA YACHEZEA 'TATU' ZA LIVERPOOL DARAJANI

  Mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho (kulia) akiifungia timu yake bao huku Nahodha wa Chelsea, John Terry (kushoto) akijaribu kuzia bila mafanikio. Mchezo wa Ligi Kuu ya England, Liverpool imeshinda 3-1 Uwanja wa Stamford Bridge, mabao ya Coutinho mawili dakika 48 na 74 na Christian Benteke dakika ya 83, huku bao pekee la The Blues likifungwa na Ramires Santos do Nascimento dakika ya nne. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YACHEZEA 'TATU' ZA LIVERPOOL DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top